Khadja Nin Sina Mali, Sina Deni (Free)歌词


Ahiya, Ahiya
Kwa baraka
Mimi napona
Kabisa, ni hajabu
Sina mwili tena
Niko sawa upepo
Mimi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina nyesha kama mvua
Ina ruka kama ndege
Ina cheka kama mtoto

Ahiya, mam'ahiya
Sina haja, ya kitu,
mimi napona
I'm free, kama maji
Anatembeya mpaka katika pori
Mimi, mi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ota kama maua
Ina pita kama nyota
Ina waka kama jua

Pole pole mama
Wakati wangu umefika, mimi napona
I'm free, kama hewa
Ina ingiya mpaka fasi inapenda
Mimi, ni masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ona kama macho
Ina waka kama moto
Ina lia kama ngoma

I'm free kama maji
Ana tempaka mpaka kati ya pori

Kama hewa, kama macho kama nyota, kama maji
Kama mimi leo, mimi napona

I'm free, I'm free
Kama mimi leo, mimi napona

Ahiya Mam'ahiya
sina mali, Mungu, sina deni

  • 专辑:Sambolera
  • 歌手:Khadja Nin
  • 歌曲:Sina Mali, Sina Deni (Free)

Khadja Nin Sina Mali, Sina Deni (Free)歌词

相关歌词

Various Artists Sina Mali, Sina Deni (Free) (Burundi)歌词

07/28 16:44
Ahiya, Ahiya Kwa baraka Mimi napona Kabisa, ni hajabu Sina mwili tena Niko sawa upepo Mimi masikini Sina mali mali, sina deni Mali yangu baba Ina nyesha kama mvua Ina ruka kama ndege Ina cheka kama mtoto Ahiya, mam'ahiya Sina haja, ya kitu, mimi napo

Khadja Nin Mulofa歌词

08/04 05:01
Nili kutana na Mulofa moja aloin'ambiya ana toka jela aloin'ambiya sina pesa ya cakula nili sikiya na uluma sana nika mupatiya na shiling tano nika mwambiya nenda ukale cakula kumbe muongo ali danganya ni siku nyingi anashidwa kazi ana tafuta njiya y

Khadja Nin Sesiliya歌词

08/04 05:01
tarehe makuni tatu na moja ya mwaka juzi umetuaca ukaji endeya bila kusema wuko wa, wuko wa, wuko wapi mwenyezi mungo atusayidiye atupative nguvu tuendeleye mwaka unapita, hatuzoweleye tunaliya, sesili, sesiliya mimi na ikala cini mikono wazi mimi na

Khadja Nin Mwana Wa歌词

08/04 05:01
Submit Lyrics Your name will be printed as part of the credit when your lyric is approved. 专辑:Khadja Nin 歌手:Khadja Nin 歌曲:Mwana Wa

Sina Vodjani Om Gatey Gatey歌词

07/29 19:07
Submit Lyrics Your name will be printed as part of the credit when your lyric is approved. 专辑:Dancing Dakini 歌手:Sina Vodjani 歌曲:Om Gatey Gatey

小野リサ MALAIKA歌词

08/08 19:26
malaika,nakupenda malaika malaika,nakupenda malaika nami nifanyeje kijana mwezio nashindwa na mali sina wee ningekuoa malaika nashindwa na mali sina wee ningekuoa malaika kidege hukuwaza kidege kidege hukuwaza kidege nami nifanyeje kijana mwenzio nas

Various Artists Sambolera Mayi Son歌词

07/29 00:17
Sambolera mayi son (Khadja Nin/Kevin Mulligan) Duniya ile Sambolera Oh ! wanayijifondeya Duniya yetu Sambolera Mbona wazimu... mayi Watu wa duniya Sambolera Oh ! wanajisondeka Siyo wa mungu Sambolera Oh ! ni watu... mayi Watu wabaya Sambolera Oh ! ha

Adrian Sina Angel (Unplugged Version)歌词

07/28 16:15
安遠Aaron Chasing memories and fears Running in this rain of tears My wings are black and heavy They try so hard to reach you My world is empty Cant take it One more try [Sandra N.] And I feel, I feel like an angel Beautiful, so stranger hold me in you

Sina Vodjani Straight To The Heart歌词

08/08 08:17
Submit Lyrics Your name will be printed as part of the credit when your lyric is approved. 专辑:Karma, Love & Compassion 歌手:Sina Vodjani 歌曲:Straight To The Heart

JOMO Sina歌词

08/02 17:32
Sina, Have you never seen the dark side of a dreamer? Won't you linger for a moment while I Search for the child behind your eyes I used to know? Who'd have thought it would take this to make you realize? Who'd have dreamt it would be this that made