Sina Deni (Free)


Khadja Nin Sina Mali, Sina Deni (Free)歌词

08/04 05:01
Ahiya, Ahiya Kwa baraka Mimi napona Kabisa, ni hajabu Sina mwili tena Niko sawa upepo Mimi masikini Sina mali mali, sina deni Mali yangu baba Ina nyesha kama mvua Ina ruka kama ndege Ina cheka kama mtoto Ahiya, mam'ahiya Sina haja, ya kitu, mimi napo